Pakistani: ISI Walikuwa Wanafahamu Nini Kuhusu Laden?
Faheem Haider katika blogu ya Sera ya Nchi za Nje ya Pakistani anahoji kile ambacho Jeshi na Usalama wa Taifa (shirika la kijasusi) la Pakistani vilikuwa vinafahamu kuhusu gaidi mkuu Osama Bin Laden,...
View ArticleSenegal: Harakati za “Imetosha Sasa Basi”: Kwanza Kwenye Mtandao, Na Sasa Ikulu
Wakati vuguvugu la mapinduzi likiendelea Uarabuni matukio kadhaa ya vijana wenye hasirayamezuka katika tovuti za Senegal. Tangu mwanzoni mwa mwezi wa tatu, uanaharakati huo umeachana na ulimwengu wa...
View ArticleNepal: Mwanzo wa Mapinduzi ya Facebook?
Pradeep Kumar Singh anaweka picha na habari za kampeni ya hivi karibu ni ya Facebook iliyopewa jina la “Jitokeze. Simama. Ongea. Vinginevyo, kaa kimya. Takriban vijana 400 wa Nepali walijitokeza sehemu...
View ArticleSingapore: Wanablogu Waikosoa Ilani ya PAP
Chama kinachotawala Singapore, People’s Action Party (PAP), kilitoa ilani yake ya uchaguzi tarehe 17 aprili, 2011, ambayo mara moja ilikosolewa na wanablogu wengi kwa “kutokuwa wazi”. PAP kimekuwa...
View ArticleRipoti ya UNESCO kuhusu vyombo vya habari vya Singapore
Repoti ya Unesco inaonesha ‘udhibiti wa hali juu’ wa vyombo vikuu vya habari nchini Singapore huku ikizitambua blogu na tovuti za vyombo vyauanahabari mpya kuwa vinatoa “mazungumzo makini mbadala juu...
View ArticleUganda: Polisi Wawanyunyizia Waandamanaji Rangi ya Waridi
Polisi wa Uganda wameikabili kampeni inayoendelea kwa mwezi mmoja sasa ya Kutembea Kwenda Kazini kwa kuwanyunyuzia waandamanaji mabomu ya machozi na risasi sa moto. Wakati wa maandamano siku ya...
View ArticleSuluhisho la Kiradikali la Umaskini Duniani: Ufunguzi wa Mipaka
Tarehe 18 Disemba ilikuwa ni siku ya kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji [fr]. Wakati wa mgogoro uliopo wa hali mbaya ya fedha duniani, uhamiaji kutoka nchi zinazoendelea umelaumiwa na vyama...
View ArticleZambia 2011: Matukio Mawili Yaliyotikisa Taifa
Bila ya shaka, matukio mawili nchini Zambia yatatambuliwa kama matukio yaliyoitikisa nchi kama vile tetemeko la ardhi linavyotikisa. Tukio la kwanza lilikuwa ni kifo cha Rais wa pili wa Jamhuri ,...
View ArticleAfrika: TEKNOHAMA Kwa Ajili ya Wakimbizi na Watu Wasio na Makazi
Katika wiki za hivi karibuni Global Voices imeendelea kuwakilisha kwa wasomaji wake mifano zaidi ya jinsi uanahabari wa kiraia unavyotumika kuwawezesha wakimbizi na watu wasio na makazi. Hata hivyo,...
View ArticleMalawi: Maoni ya Mtandaoni Kuhusu Kifo cha Mutharika
Taarifa za vyombo vya habari nchini Malawi na duniani kote zinaeleza kwamba Rais wa Malawi Bingu wa Mutharika amefariki dunia. Wakati hakuna maelezo rasmi ya serikali juu ya tukio hilo wakati makala...
View Article
More Pages to Explore .....